{"id":9512,"date":"2024-02-05T21:19:00","date_gmt":"2024-02-05T21:19:00","guid":{"rendered":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/?page_id=9512"},"modified":"2024-02-20T19:01:32","modified_gmt":"2024-02-20T19:01:32","slug":"kuhusu-sisi","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/kuhusu-sisi\/","title":{"rendered":"KUHUSU SISI"},"content":{"rendered":"<div class=\"wpb-content-wrapper\"><p>[vc_row][vc_column width=&#8221;1\/2&#8243;]\n\t\t<div id=\"wd-65d3ae1322dda\" class=\"title-wrapper wd-wpb set-mb-s reset-last-child  wd-rs-65d3ae1322dda wd-title-color-default wd-title-style-default text-left  wd-underline-colored\">\n\t\t\t\n\t\t\t<div class=\"liner-continer\">\n\t\t\t\t<h4 class=\"woodmart-title-container title  wd-font-weight- wd-fontsize-l\" >Sisi ni nani?<\/h4>\n\t\t\t\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\n\t\t\t\t\t\t\t<div class=\"title-after_title  set-cont-mb-s reset-last-child  wd-fontsize-xs\">HISTORIA FUPI YA PAROKIA Kanisa la Mwenyeheri Maria Teresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege ilizinduliwa rasmi mwaka 1976. Mnamo oktoba 1973, mji wa Dodoma uliteuliwa kuwa Mji Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huo ulisababisha ongezeko la watu katika maeneo ya mjini na hivyo kuleta changamoto za kiuchungaji kwani jimbo halikuwa limejiandaa na mfumuko huo wa waamini. Katika harakati za kupambana na changamoto hiyo, Mhashamu Askofu Mstaafu Mathias Isuja Joseph aliandika barua tarehe 24.01.1975 kwa mapadre wa shirika la Yesu akiwaomba waje jimboni ili kukidhi mahitaji ya kiuchungaji na kitume. Parokia ya Kiwanja cha Ndege ilianza na wakristu wachache wakiongozwa na Mzee Timothy Mashimbi na walikuwa wakikusanyika pamoja kwenye madarasa ya shule ya Msingi ya Kiwanja cha Ndege na kusali. Madre wa Shirika la Yesu ndio waliokuwa wakijumuika na Wakristo kwenye ibada hiyo. Mapadre walikuwa wanakaa kwenye nyumba yao waliyokuwa wameinunua eneo la Uhindini. Aidha walipewa kiwanja na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kwa ajili ya Parokia. Kwa sababu ya ushirikiano mzuri uliokuwepo kati ya waamini na watu wenye mapenzi mema ujenzi wa kanisa dogo ulianza mwaka wa 1977. Ujenzi huo ulipokamilika, kanisa lilibarikiwa na Mh. Askofu Mstaafu Mathias Isuja Joseph Tarehe 15.10.1978. <\/div>\n\t\t\t\n\t\t\t\n\t\t<\/div>\n\t\t\n\t\t[\/vc_column][vc_column width=&#8221;1\/2&#8243;][vc_single_image image=&#8221;9551&#8243; img_size=&#8221;full&#8221; wd_animation=&#8221;slide-from-bottom&#8221; parallax_scroll=&#8221;no&#8221; woodmart_inline=&#8221;no&#8221; css=&#8221;.vc_custom_1707216226246{border-radius: 2px !important;}&#8221;][\/vc_column][\/vc_row][vc_row][vc_column][vc_column_text woodmart_inline=&#8221;no&#8221; text_larger=&#8221;no&#8221;]Tarehe 01.01.1980 Askofu mstaafu Mathias Isuja Joseph aliahidi kujenga nyumba ya mapadre katika eneo la Parokia kusudi mapadre waweze kutoa huduma kwa waamini kwa urahisi. Nyumba hiyo ilianza kujengwa tarehe 7.05.1980 na ilibarikiwa tarehe 31.07.1980 ambayo ni sikukuu ya Mt.Inyasi wa Loyola. Idadi ya waamini waliozunguka eneo la kanisa iliongezeka na kufanya kanisa kuwa dogo, na hivyo kuamua kuanza kujenga kanisa jingine lililopo sasa. Ujenzi huo ulianza mwaka 1979 na kwa ushirikiano mzuri wa waamini na watu wenye mapenzi mema uliendelea vizuri. Ufadhili mkubwa wa kumaliza kanisa hili ulitolewa na Masista wa Mt. Petro Klaveri (Sisters of St. Peter Claver) waishio Roma, Italia. Hii ilipelekea kanisa hilo kuitwa la Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska ambaye ni mwanzilishi wa Shirika hilo la Masista. Ujenzi ulikamilika mwezi April, mwaka 1984. Utume wa walei kupitia Vyama vya kitume na Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo unaimarishwa na muundo wa Halmashauri ya Walei ya Parokia inayowajibika na kuishi utume wake kulingana na katiba yake. Halmashauri inalo jengo lake ambalo lilizinduliwa na Mh. Askofu mstaafu Mathias Isuja Joseph Tarehe 27.10.2002. Hadi mwaka 2002 Parokia ilikuwa na Vigango vifuatavyo: Mpamaa, Chipondwa, Nzuguni Sokoine, Nzuguni Maweni, Ihumwa, Kizota, Makole, Nkuhungu na Miyuji. Parokia yetu imekuwa mzazi wa parokia zifuatazo:- Parokia ya Makole mwaka 2002, Parokia ya Nkuhungu mwaka 2005, Parokia Miyuji Mbwanga mwaka 2006 na parokia Ndogo ya Mt. Inyasi wa Loyolo (Miyuji Kusini) mwaka 2009. Parokia inavyo vyama vya kitume vifuatavyo na kila chama kadiri ya karama na utume wake husaidia katika shughuli za kitume. \u2022 Wafransiko Wasekulari \u2022 Wanawake Wakatoliki Tanzania ( WAWATA) \u2022 Wakarismatiki \u2022 Christian Professionals of Tanzania ( CPT) \u2022 Legio Maria \u2022 Moyo Mtakatifu wa Yesu \u2022 Vijana Wakatoliki ( Pia kuna vikundi vya Miito na Magis) \u2022 Shirika la Kipapa la Kimisionari la Utoto Mtakatifu \u2022 Wanaume Wakatoliki Kufikia mwaka 2009, Parokia ilikuwa na jumuiya 29 na Parokia Ndogo ya Mt. Inyasi wa Loyola ilikuwa na jumuiya 5. Hii ndiyo historia fupi ya Parokia ya K\/Ndege Kanisa la Mwenye Heri Maria Teresa Ledochowaska. TUMSIFU YESU KRISTU.[\/vc_column_text][\/vc_column][\/vc_row]<\/p>\n<\/div>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>[vc_row][vc_column width=&#8221;1\/2&#8243;][\/vc_column][vc_column width=&#8221;1\/2&#8243;][vc_single_image image=&#8221;9551&#8243; img_size=&#8221;full&#8221; wd_animation=&#8221;slide-from-bottom&#8221; parallax_scroll=&#8221;no&#8221; woodmart_inline=&#8221;no&#8221; css=&#8221;.vc_custom_1707216226246{border-radius: 2px !important;}&#8221;][\/vc_column][\/vc_row][vc_row][vc_column][vc_column_text woodmart_inline=&#8221;no&#8221; text_larger=&#8221;no&#8221;]Tarehe 01.01.1980 Askofu mstaafu Mathias Isuja Joseph aliahidi<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-9512","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/9512","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=9512"}],"version-history":[{"count":7,"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/9512\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":9640,"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/9512\/revisions\/9640"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/wp.vormia.com\/jesuits\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=9512"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}