- This event has passed.
Combo Event
April 11 @ 8:00 am - 5:00 pm
Kila baba achukue jukumu lake juu ya ulinzi na usalama wa mtoto. Uwepo wa baba katika maisha ya mtoto bila kujali uwezo wake wa kiuchumi una mchango mkubwa katika kuathiri maisha yake.
@proud_wives inatambua mchango wa kila mwanaume ambaye anasimama kwenye nafasi ya baba kwa mtoto yeyote yule uwe ni kaka mwenye kofia ya ubaba kwa wadogo zako, mjomba, babu, baba mzazi lakini zaidi kuwa baba wa kambo.
Siku hii tutapata elimu zaidi ya kuasili watoto kama ambavyo wizara yetu ya @maendeleoyajamii inasisitiza kila mtoto kuwa na familia.