Quiz & Assessment

Taja Mambo ambayo Mke anamsaidia mume.

Imekuwa utamaduni kusema mke ni msaidizi wa mume, je tunafahamu jukumu la usaidizi limebeba mambo gani?

Ni vitu gani mke hupaswa kumsaidia mume?

Tiririka kwenye comment tujifunze pamoja. Hii ni kwa wote wake kwa waume.

@proud_wives inafurahi kupata maoni yako mume/mwanaume juu ya mambo gani ambayo mke anamsaidia mume;

kadhalika kwako mke, tupe nondo kwa uzoefu wako au namna unavyoelewa na kuamini.

#proudwiveshappymarriageforallđź’Ť